DAN ALVES KUVUNJA MKATABA KISA MAN CITY

Juni 21, 2017
Beki wa zamani wa timu ya Barcelona ya nchini Hispania anayekipiga kwa sasa katika timu ya Juventus ya Italia Dani Alves anatarajia kuvunja mkataba wake na timu hiyo ili aweze kujiunga na Manchester City inayomuhitaji kwa mkataba wa miaka miwili, Alves raia wa Brazil mwenye umri wa miaka 34 anayemudu kucheza beki wa kulia amefikia uamuzi huyo baada ya Manchester City kumpa dau nono ambalo ameridhika nalo hata hivyo Ofisa mtendaji mkuu wa JuventusBeppe Marotta amesema kuwa wao wako tayati kumruhusu mchezaji huyo kuondoka endapo watafika makubaliano kwa yeye kuvunja mkataba. 

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni