Singida United Fc yamsaininisha kandarasi ya miaka miwili beki wa kulia Miraj Seleman Adam akiyekuwa akikipiga African Lyon ya Dar es Salaam.
Msimu uliopita wa VPL, Mlinzi huyo aliyewahi kupita Simba na Coastal Union, alikuwa chaguo la kwanza ndan ya kikosi cha Lyon katika nafasi ya mlinzi wa kulia Singida United imeendeleaa kujiimarisha kuelekea ligi kuu msimu ujao baada ya kupanda daraja