CHICHARITO ATUA WEST HAM

Julai 24, 2017
Aliyekuwa mshambulizi wa timu ya Manchester United na Bayer Liverkusen Javier Hernandez Chicarito  ametua katika timu ya West ham inayoshiriki ligi kuu nchini England kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 16 na atakuwa akilipwa mshahara wa paundi 140000 kwa wiki, Ikumbukwe kuwa Chicharito aliondoka Manchester baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo Luis Van Gaal kutomuhitaji katika kikosi chake mshambuliaji huyo mwenye miaka 29 amesema kuwa amejipanga kufanya makubwa katika ligi kuu nchini England baada ya kuondoka na kurudi tena.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni