BreakingNews!!!!
Supersport imeingia mkataba mpya na WWE wa kuonyesha michuano yake yote LIVE bila kukosa. Supersport itarusha WWE Flagship shows ikiwemo Raw na Smackdown, WWE specials ikiwemo WrestleMania na SummerSlam.

Msimu huu utakaonza rasmi tar 28 Agasti, mambo ni moto🔥🔥🔥🔥🔥Michuano hii itaonekana kuanzia SuperSport channels S3, S4, S9 na SS10. Ikiimaanisha kuanzia kifurushi Bomba cha sh.19,975 tu!
Endelea kutembelea page yetu kupata maelezo zaidi na ratiba.
#SuperspprtYourWorldOfChampions
#SuperspprtYourWorldOfChampions