Klabu ya Mchester United imeichapa timu ya Manchester City kwa jumla ya bao 2-0katika mchezo wa kirfaiki uliofanyika Alfajiri ya leo, timu hizo ziko nchini China zikicheza michezo ya kirafiki kama maandalizi ya ushiriki wa ligi kuu nchini Uingereza msimu ujao na mabao ya Manchester United yalifungwa na Romelu Lukaku pamoja na Marcus Rashford.
MOURINHO ALIVVYOMCHAPA GUADIOLA