ISENI FC YAICHAPA UMOJA LIGI YA NYAMAGANA

Julai 05, 2017
Wakati ligi daraja la nne ngazi ya wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza  ikiendelea kutimua vumbi kwenye kiwanja cha Nyamagana kilichopo katikati ya jiji la Mwanza, timu ya Iseni fc imefanikiwa kuichapa bila huruma timu ya Umoja kwa jumlaya bao 5-2 katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Nyamagana , Umoja walilazimika kucheza wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kucheza madhambi kwa mchezaji wa Iseni fc.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni