PEPE AONDOKA MADRID ATIMKIA UTURUKI

Julai 05, 2017
Képler Laveran Lima Ferreira maarufu kama Pepe ambaye ni beki wa zamani wa timu ya Real Madrid ya nchini Hispania ameihama klabu hiyo na kutimkia nchini Uturuki katika timu ya Besiktas baada ya kuitumikia klabu ya Real Madrid kwa miaka 10 akitokea Sports Lisbone ya nchini Ureno mwaka 2007.

Pepe ameondoka Madrid akiwa na umri wa  miaka 34 ambapo amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Besiktas ya nchini Uturuki , ikumbukwe kuwa Pepe ametwaa kila aina ya makombe wakati akiwa Real Madrid.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni