Klabu ya Singida United imekamilisha usajili wa wachezaji ishirini na tano (25) Kwa Ajili ya msimu ujao. Taarifa iliyotolewa na mkurungezi wa Singida inasema wachezaji walioipandisha timu ligi kuu wanabaki tisa (9) Huku ikifanikiwa kusajili wachezaji 16 walisajiliwa wapya Kati ya hao 16 wachezaji saba 7 wanatoka nje ya Tanzania na tisa 9 wanatoka ndani
wachezaji kutoka nje (7)
1-Elisha Muroiwa(Zimbabwe)
2-Twafadzwa Kutinyu (Zimbabwe)
3-Simbarashe Nhivi (Zimbabwe)
4-Wisdom Mtasa (Zimbabwe)
5-Shafik Batambuze(Uganda)
6-Dany Usengimana( Rwanda)
7-Michel Rusheshangoga(Rwanda)
1-Elisha Muroiwa(Zimbabwe)
2-Twafadzwa Kutinyu (Zimbabwe)
3-Simbarashe Nhivi (Zimbabwe)
4-Wisdom Mtasa (Zimbabwe)
5-Shafik Batambuze(Uganda)
6-Dany Usengimana( Rwanda)
7-Michel Rusheshangoga(Rwanda)
Wapya kutoka Ndani (9)
1-Atupele Green (Jk Ruvu)
2-Miraj Adam (Africa Lyion)
3-Kenny Ally (Mbeya City)
4-Roland Msonjo(Mshikamano Fc)
5-Pastory Athans (Simba)
6-Deus Kaseke(Yanga)
7-Ally Mustapha (Yanga)
8-Salum Chuku (Toto Africa)
9-Kigi Makasi (Ndanda Fc).
1-Atupele Green (Jk Ruvu)
2-Miraj Adam (Africa Lyion)
3-Kenny Ally (Mbeya City)
4-Roland Msonjo(Mshikamano Fc)
5-Pastory Athans (Simba)
6-Deus Kaseke(Yanga)
7-Ally Mustapha (Yanga)
8-Salum Chuku (Toto Africa)
9-Kigi Makasi (Ndanda Fc).
Walioipandisha timu (9)
1-Said Lubawa
2-Robart Jacton
3-Hassan Dumba
4-Yusuph Kagoma
5-Salum Kipaga
6-Nizar Khalifan
7-Sumbi Alinyesia
8-Adrian Banana
9-Emmanul Shango
1-Said Lubawa
2-Robart Jacton
3-Hassan Dumba
4-Yusuph Kagoma
5-Salum Kipaga
6-Nizar Khalifan
7-Sumbi Alinyesia
8-Adrian Banana
9-Emmanul Shango