STARS WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO KUELEKEA RWANDA.

Julai 18, 2017
 Timu ya taifa ya Tanzania taifa stars imefanya mazoezi yake ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba ambapo timu hiyo inatarajia kuondoka hapa nchini kesho ijumatano kuelekea nchini Rwanda kucheza mchezo wa marudiano na timu ya taifa ya Rwanda Amavubi  ambao ni maalumu kwa kufuzu fainali za mataifa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani Chan na kocha msaidizi wa Stars Frugence Novatus amesema kuwa timu hiyo imejipanga kuhakikisha kuwa inashinda mchezo dhidi ya Rwanda.

wachezaji Stars wakipasha

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni