Makamu mwenyekiti wa timu ya Yanga Clement Sanga amewateua wajumbe 12 watakaounda kamati mpya ya kamati ya mashindano Katika wajumbe hao Magid Suleiman ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo na Mustapha Urungo ameteuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa kamati hiyo.
Ifuatayo ni orodha ya wajumbe hao.
1.Urio Eduard- Katibu
2. Rodgers Gumbo- Mjumbe
3.Yanga E. Makoga- Mjumbe
4.Lameck Nyambaya- Mjumbe
5. Samwel Luckmay- Mjumbe
6.Edgar Chinganga- Mjumbe
7. Yusuph Mohamed- Mjumbe
8. Omary Chuma Mjumbe
9.Hussein Nyika- Mjumbe
10.Leonard Chinganga- Mjumbe