PAMBA KUKIWASHA NA ALLIANCE JUMAMOSI HII

Agosti 10, 2017
Timu za Alliance sports academy na Pamba sports Club zinatarajia kumenyana agosti 12 mwaka huu katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini hapa ambapo mchezo huo ni maalumu kwa timu zote kujiandaa na ligi daraja la kwanza msimu ujao, Alliance na Pamba ziko katika kundi moja la C ambazo zitachuana kupanda daraja kucheza ligi kuu bara msimu 2018/19.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni