Tanzania imeshuka nafasi sita katika viwango vya shirikisho la kandanda duniani kutoka ya 114 hadi 120 kwa mwezi wa Agosti.
Mwezi uliopita Tanzania ilishika nafasi ya 114 kutoka nafasi ya 139 mwezi June lakini mwezi Agosti inashika nafasi ya 120.
Kwa bara la Afrika inashika nafasi ya 35.
Ukanda wa Afrika mashariki na kati ya kwanza ni
Uganda
Kenya
Rwanda
Tanzania.
Ethiopia
Burundi
Sudan kusini
Sudan.
Djibouti
Eritrea na
Somalia.
Duniani kumi bora ni
1. Brazil
2 Germany
3 Argentina
4 Switzerland
5 Poland
6 Portugal
7 Chile
8 Colombia
9 Belgium
10 France