baada ya Liver kukataa ofa hiyo sasa Coutinho anatarajia kuukosa mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu nchini England ambapo Liver watakuwa wakicheza na watford huku Coutinho akisumbuliwa na majeraha ambayo yalimfanya ashindwe kufanya mazoezi na timu yake kuanzia jumatano wiki hii.
LIVER WAKATAA MKWANJA WA BARCELONA KWA COUNTINHO