Kwa upande wake nahodha wa timu ya wandishi wa habari za michezo mkoa wa Mwanza Moses William amesema kuwa timu ya Mwanza stars veteran wameshinda kwa mbinde " kimsingi hawa wachezaji wa zmani tuliocheza nao leo wametufunga kwa mbinde lakini kazi yetu wameiona hivyo sisi tutaendelea na maandalizi yetu kuhakikisha kuwa tunacheza nao tela ili na sisi tulipe kisasi
Mara baada ya mchezo huo Uongozi wa timu ya wanahabari fc unajiandaa kucheza mchezo na timu ya Bunge mchezo utakaopigwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma bada ya mazungumzo kukamilika.