HABARI FC YAICHINJA OPEN UNIVERSITY

Novemba 10, 2017
Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo Jijini Mwanza maarufu kama Habari fc jana ilifanikiwa kuibugiza timu ya Chuo kikuu huria cha jijini Mwanza kwa jumla ya bao 5-3 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza, katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkali ulishuhudia Mabao ya Habari fc yakifungwa na Juma Ayo aliyefunga mabao mawili katika mchezo huo huku mabao mengine yakifungwa na Ramadhan. Mara baada ya mchezo huo timu ya Habari fc inaendelea na maandalizi yake katika kuelekea michezo mingine ya kirafiki.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni