SIMBA YAVUNJA MWIKO MBEYA, YAITANDIKA PROSON

Novemba 18, 2017
Timu ya soka ya Simba ya jijini Dar es salaam imevunja mwiko baada ya kuitandika timu ya wajelajela wa Mbeya Tanzania prison kwa jumla ya bao 1-0 bao lililofungwa dakika ya 88 na mshamuliaji wa timu hiyo John Bocco baada ya mchezo huo Simba imefikisha jumla ya pointi 22 baada ya michezo 10 hata hivyo wachambuzi wa maswala ya kisoka hapa nchini wanasema kuwa Klabu ya Simba ikipata ushindi katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya huwa inatwaa Ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara, hata hivyo ikumbukwe kuwa msimu uliopita Simba walifungwa bao 2-0 na Prison

Matokeo mengine katika ligi kuu leo 
Majimaji 2-1 Mbao Fc 
Tanzânia prisons 0-1 Simba Sports Club 
Ruvu shooting 1-0 Ndanda Fc 
Stand United 0-0 Mwadui Fc

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni