POGBA ARUDI KIVINGINE AIWEZESHA MAN U KUICHAPA NEWCASTLE

Novemba 18, 2017
Timu ya Manchester United imeichapa timu ya Newcastle jumla ya bao 4-1 katika mchezo wa ligi kuu nchini England mchezo uliopigwa Uwanja wa Old traford jijini Manchester, Mabao ya washindi katika mchezo huo yalitiwa kimiani na Antony Martial dakika ya 37,Chris Smalling dakika ya 45, Paul Pogba dakika ya 54 huku Romelu Lukaku akihitimisha kalamu ya mabao dakika ya 71 ya mchezo huo huku bao la kufutia machozi kwa newcastle likifungwa na D.Gayle dakika ya 14 ya mchezo huo.
Matokeo mengine katika ligi kuu nchini England
Arsenal 2-0 Totenham
Leicester city 0-2 Manchester City
West browhich 0-4 Chelsea
Crystal Palace 2-2 Everton
Liverpool 3-0 Southampton
Burnley 2-0 Swansea city
AFC Bournemo 4-0 Huddersfield town

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni