TOTO AFRICAN KUMENYANA NA ELEVEN STARS KOMBE LA FA

Desemba 19, 2017
Timu ya soka ya Toto african ya jijini Mwanza inayoshiriki ligi daraja la kwanza kundi C kesho desemba 20 mwaka huu inatarajia kucheza mchezo wake wa kombe la shirikisho maarufu kama kombe la FA dhidi ya Eleven stars ya mkoani  Kagera  ambapo mchezo huo utapigwa Uwanja wa Nyamagana kuanzia majira ya saa 10 za jioni.

mwenyekiti wa timu hiyo Godwin Aiko amewaomba wapenzi na wadau wa timu hiyo kuhakikisha kuwa wanaokeza kuipa sapoti katika mchezo huo " timu yetu kesho itacheza na Eleven stars kutoka Kagera katika kombe la FA hivyo wadau wajitokeze kuisapoti timu yao kwani tumejipanga kushinda" alisema

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni